Habari
Rais: Nitaendelea kuilea Tanzania kwa kuharakisha huduma za kijamii
Rais Samia Suluhu Hassan amewaahidi watanzania kuwa ataendelea kuwajibika kwao kwa kuilea Tanzania na kuharakisha huduma zote muhimu za kijamii kama sehemu ...Watu 26 kutoka LBL mbaroni kwa kujihusisha na biashara ya upatu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu 26 wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara haramu ya upatu mtandaoni bila kuwa ...Nafasi 31 za Ajira Serikalini
POST: ASSISTANT LECTURER IN ACCOUNTING AND TRANSPORT FINANCE (RE-ADVERTISED) – 2 POST Employer: Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) More Details 2025-03-02 Login to ...Rais Tshisekedi kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi ametangaza mpango wa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na kufanya mabadiliko ...Watu 25 walazwa hospitalini kwa kula kibudu cha ng’ombe
Watu ishirini na tano wamelazwa hospitalini baada ya kula nyama ya ng’ombe aliyekufa katika eneo la Masindoni, Chepalungu, Kaunti ya Bomet nchini ...Vatican yasema Papa Francis ana dalili za figo kufeli
Taarifa ya Vatican imesema Papa Francis bado yuko katika hali ya mahututi, huku vipimo vya damu vikionyesha dalili ndogo za kushindwa kwa ...









