Habari
Tanzania yapokea mkopo wa bilioni 517 za uboreshaji reli ya kati
Tanzania imepata mkopo wa dola za Marekani milioni 200 (takriban bilioni 517) kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Benki ya Dunia ...Waliofanya uzembe ghorofa lililoanguka Magogoni kuchukuliwa hatua
Kufuatia kuanguka kwa jengo la ghorofa mbili katika eneo la Magogoni, Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezielekeza Bodi ya ...Mwanamke akamatwa kwa kupeleka maiti benki ili asaini mkopo
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Érika de Souza Vieira Nunes wa nchini Brazil amekamatwa baada ya kupeleka maiti benki, akitumaini kwamba ...Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa Heshima na Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) amesema Seneti ya Chuo Kikuu cha Ankara ambacho ni ...Nchi 10 za Afrika zenye kiwango kikubwa cha wasiojua kusoma na kuandika
Kutokujua kusoma na kuandika kunaweza kuwa na athari kubwa kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya nchi. Watu wasiojua kusoma na kuandika ...Dereva wa ajali iliyoua wanafunzi Arusha ashtakiwa kwa kuua bila kukusudia
Lukuman Hemed, dereva wa basi la Shule ya Msingi Ghati Memorial lililosombwa na maji na kuua wanafunzi saba jijini Arusha amepandishwa kizimbani ...