Habari
Rais atoa tani 189 za mbegu kwa wakulima walioathirika na mafuriko Kilombero
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa tani 189 za mbegu za mpunga, mahindi na alizeti ili zisambazwe kwa wakulima wa wilaya ya ...Ajifungua mahakamani baada ya kuachiwa kwa tuhuma za mauaji
Virginia Maingi amejifungua katika mahakama ya Kithimani, Kaunti ya Machakos nchini Kenya baada ya mahakama hiyo kumwachia huru kwa tuhuma za mauaji. ...Rais Samia kufanya ziara ya kitaifa nchini Uturuki
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kitaifa ya siku tano nchini Uturuki kati ya Aprili 17 hadi 21, mwaka huu ...Profesa Nyahongo: Miaka mitano ijayo wakazi wa Dar watatembea na oksijeni
Profesa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Julius Nyahongo ametoa tahadhari kuwa katika miaka mitano ijayo wakazi wa Dar es Salaam watalazimika ...Fahamu chanzo cha mgogoro kati ya Iran na Israel
Mgogoro kati ya Iran na Israel ni sehemu ya mizozo ya muda mrefu katika eneo la Mashariki ya Kati. Mizizi ya mgogoro ...Nafasi 30 za Ajira Serikalini
POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 4 POSTEmployer: Halmashauri ya Wilaya ya BiharamuloMore Details 2024-04-26 Login to Apply POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 5 POSTEmployer: Halmashauri ...