Habari
Trump asema Marekani itaichukua na kuimilika Gaza baada ya kuwaondoa Wapalestina
Rais Donald Trump amesema Marekani itachukua na kumiliki Ukanda wa Gaza baada ya kuwahamisha Wapalestina kwenda maeneo mengine, chini ya mpango wa ...Gachagua: Ruto alinihusisha na maandamano ya Gen Z kama njama ya kuniondoa
Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema hakuwa sehemu ya maandamano ya vijana dhidi ya serikali yaliyofanyika Juni na Julai mwaka ...Waasi DRC watangaza kusitisha mapigano
Muungano wa waasi Mashariki mwa DRC unaojumuisha M23 umetangaza kusitisha mapigano kutokana na sababu za kibinadamu kuanzia Februari 4, mwaka huu. Muungano ...Rais Kagame asema hajui kama wanajeshi wa Rwanda wako DRC
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hafahamu kama wanajeshi wa nchi yake wako mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako ...Rais Samia azitaka mahakama kutenda haki na kwa wakati
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mahakama ya Tanzania itakuwa na mchango mkubwa katika kuiwezesha Tanzania kufikia malengo yake ya maendeleo kama yatakayobainishwa ...