Habari
Beno Kakolanya atoroka kambini Singida FG ikiikabili Yanga
Klabu ya Singida Fountain Gate imesema inasikitishwa na kitendo cha kipa wao Beno Kakolanya kutoroka kambini wakati timu hiyo ikikabiliwa na mchezo ...Mtoto ashikiliwa kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake Njombe
Kamanda wa Polisi mkoani Njombe, Mahamoud Banga amesema Jeshi la Polisi mkoani humo linamshikilia mtoto wa miaka 12 kwa tuhuma za kumlawiti ...Mwanamke afukuzwa na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi
Mwanamke mwenye umri wa takribani miaka 60, mkazi wa Kitongoji cha Ipapa kilichopo Kijiji cha Isongole, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, amefukuzwa ...Rais Samia: Serikali itafanya uchunguzi ili kudhibiti mafuriko
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na mvua zinazoendelea kuleta athari katika baadhi ya maeneo hapa nchini Serikali inakwenda kufanya uchunguzi wa ...Wanafunzi waliofariki katika ajali Arusha wafikia watano
Wanafunzi waliofariki kutokana na ajali ya gari la Shule ya Msingi Ghati Memorial ya mkoani Arusha katika mitaa ya Dampo Sinoni, Kata ...Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa joto kali zaidi
Shirika la Utafiti wa Anga za Juu (NASA) hivi karibuni limeripoti kuwa Machi mwaka huu hali ya joto kali imeikumba Afrika Mashariki, ...