Habari
Watu 11 wa ‘Tuma kwa namba hii’ wahukumiwa jela miaka mitatu
Watu 11 wakazi wa Ifakara mkoani Morogoro wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni 6 kwa kila ...Hungary yatangaza kufungua tena ofisi zake Tanzania
Serikali ya Hungary imetangaza dhamira ya kufungua tena Ubalozi wake hapa nchini tangu ilipoufunga mwaka 2000 ili kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano ...Watu 12 wakamatwa Zanzibar kwa kula hadharani kipindi cha mfungo
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja linawashikilia watu 12 kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani katika kipindi hiki cha ...Rais Samia: Ripoti za CAG zinaimarisha utendaji serikalini
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kila mwaka zinachangia kuimarisha na kuboresha ...DART yawasimamisha kazi watumishi kisa vurugu za abiria na madereva Kivukoni
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imewasimamisha kazi watumishi akiwemo Msimamizi wa Kituo cha Kivukoni, Shabani Kajiru, Afisa Ufuatiliaji wa Kituo, Brown ...