Habari
CCM yakemea bendera yake kutumika kufanya uhalifu
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimelaani kitendo cha watuhumiwa wa usafirishaji wahamiaji haramu kutumia bendera ya chama hicho kufanyia uhalifu. ...Nafasi 52 za Ajira Serikalini
POST: CONSERVATION RANGER III – ACCOUNTS – 15 POSTEmployer: Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)More Details 2024-04-05 Login to Apply POST: CONSERVATION OFFICER II – ACCOUNTS – ...Tanzania yapanda viwango vya tathmini ya uchumi duniani
Kampuni ya Moody’s Investors Service ambao ni wabobezi katika masuala ya kupima uhimilivu wa deni duniani imeipandisha Tanzania kwa daraja moja juu ...Watumishi wa bandari watakiwa kuchagua kati ya TPA au DP World
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema kutokana na mabadiliko ya uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam, watumishi wa bandari ...Ndugu wajiua baada ya baba yao kumpa shamba mke wake wa zamani
Kisa cha kustaajabisha kimeripotiwa katika kijiji cha Kapsilibwa huko Sagamian, Kaunti ya Narok nchini Kenya baada ya ndugu wawili kukatisha maisha yao ...Bunge lakanusha wabunge kuongezewa mishahara hadi milioni 18
Bunge la Tanzania limekanusha kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwamba wabunge wameongezewa mishahara kutoka ...