Habari
Bunge lakanusha wabunge kuongezewa mishahara hadi milioni 18
Bunge la Tanzania limekanusha kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwamba wabunge wameongezewa mishahara kutoka ...Sababu za Waafrika wengi kubaguliwa sana Italia
Katika utafiti uliofanywa hivi karibuni nchini Italia, ambao umeonyesha kiwango cha juu cha ubaguzi unaowakabili Waafrika wanaoishi nchini humo, imekuwa dhahiri kuwa ...Serikali yatumia bilioni 2.4 kugharamia timu za Taifa
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika kipindi cha Julai 2023 hadi Februari, 2024 wizara kupitia Baraza la ...Mkurugenzi wa Sumbawanga aunganishwa kesi ya uhujumu uchumi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewaunganisha washitakiwa wengine saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi, ...Tanzania yapokea trilioni 1.4 kukabiliana na Malaria, TB na UKIMWI
Serikali imepokea Dola za Kimarekani milioni 602, sawa na trilioni 1.4 za Kitanzania kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Kifua ...Facebook na Instagram kuanza kuwalipa watengeneza maudhui Kenya
Wabunifu wa maudhui nchini Kenya watapata pesa kutokana na machapisho yao kwenye majukwaa ya Meta kama vile Facebook na Instagram kuanziaJuni mwaka ...