Habari
Wanafunzi wafukuzwa kwa kuiba viti vya shule na kuviuza
Wanafunzi watano wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Chuno, Manispaa ya Mtwara-Mikindani mkoani Mtwara wamefukuzwa shule kwa kuiba viti ...Tazama tahasusi (combination) mpya za kidato cha tano zitakazoanza kutumika Julai
Ofisi ya Rais- TAMISEMI imetoa fursa kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya ...Mhasibu wa Wilaya ya Same jela miaka 20 kwa uhujumu uchumi
Mahakama ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro imemhukumu aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri hiyo, Paulo Teveli kifungo cha miaka 20 jela bila faini ...Mwandishi wa habari wa Reuters jela kwa kueneza habari za uongo
Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemhukumu kwenda jela miezi sita mwandishi wa habari wa nchini humo, Stanis Bujakera baada ya ...Mume adaiwa kumuua aliyekuwa mkewe, kisha ajinyonga kisa mali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limethibitisha kutokea kifo cha Doto Hamisi Magambazi (30) mkazi wa Mjimwema Kiluvya mkoani humo aliyefariki dunia ...Sudan Kusini yafunga shule zote kutokana na joto kali
Serikali ya Sudan Kusini imechukua hatua za haraka kwa kufunga shule zote kwa muda usiojulikana kutokana na wimbi la joto ambalo linatishia ...