Habari
Bodi ya Ithibati kukagua waandishi wasio na sifa makazini
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imesema itaendesha ukaguzi maalumu katika vyombo vya habari na maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la ...Shabiki aliyejichukulia umaarufu AFCON 2025
Mabadiliko ya kisasa katika michezo yamewafanya mashabiki kuachana na mbinu za jadi za kushabikia na badala yake kutumia njia mbalimbali za ubunifu ...Polisi: Tunachunguza raia wa kigeni kukamatwa na mifuko iliyojaa fedha
Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kuanza uchunguzi wa kina kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo inayomwonesha raia wa kigeni mwenye asili ya China ...Wakazi wa Lindi Waendelea kusherehekea Mwaka Mpya na Makapu ya Vodacom
Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Mkoa wa Lindi Omary Kilumanga (wa tano kulia) akizungumza na wateja pamoja na wakazi wa mkoa huo ...Serikali yawaonya walimu wanaowarudisha wanafunzi majumbani kisa sare
Serikali imetoa onyo kwa walimu na watumishi wa umma wanaowarudisha nyumbani wanafunzi kwa sababu mbalimbali ikiwemo kukosa sare za shule ikieleza kuwa ...








