Habari
Dkt. Kikwete ameshinda tuzo ya Amani barani Afrika mwaka 2023
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kiongozi bora wa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika ...Waziri Mkenda asema wamedhibiti wizi wa mitihani ndani ya NECTA
Serikali imesema imefanikiwa kuondoa changamoto ya wizi wa mitihani iliyokuwa inaanzia ndani ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Hayo yamesemwa na ...Angola: 50 wafariki kwa kunyweshwa mitishamba ili kujua kama ni wachawi
Watu zaidi ya 50 wamefariki nchini Angola baada ya kulazimishwa kunywa dawa ya mitishamba ili kuthibitisha kwamba hawakuwa wachawi. Msemaji wa polisi, ...Katibu Mkuu Kiongozi feki akamatwa, aliahidi ajira na kupandisha watu vyeo
Jeshi la Polisi limewakamata watu wawili, Frank Mbetu (35) mkazi wa Ligula, Mtwara na Honest Mgona (47) mkazi wa Mabwepande kwa kujifanya ...Watano wakamatwa kwa uchochezi mtandaoni dhidi ya viongozi wa serikali
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo na uchochezi kupitia ...