Habari
Kiwango cha maambukizi ya Malaria chapungua nchini
Wizara ya Afya imesema kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria nchini kimepungua na kufikia asilimia 8.1 kwa mwaka 2023 kutoka asilimia ...Benki ya NMB yaimarisha mfumo wake kuongeza tija katika utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa ...
Benki ya NMB imekamilisha zoezi la kuunganisha mfumo wake mkuu wa kibenki na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ...Ufanisi wa Bandari ya Mtwara waongezeka zaidi ya mara mbili
Katika juhudi za kuboresha huduma za Bandari ya Mtwara, mitambo mpya inayojulikana kama harbour crane ya kupakia na kushusha shehena kwenye meli, ...Rais Samia: Sina kundi katika kufanya uteuzi wa viongozi
Rais Samia Suluhu Hassana amesema hana kundi lolote katika kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali isipokuwa anachotaka ni kuona walioteuliwa wanafanya kazi na ...Serikali kufanya maboresho ya sheria ya kampuni ili kuvutia wawekezaji
Serikali imepanga kufanya maboresho kwenye sheria ya Kampuni Sura ya 212 na Sura 213 ya Majina ya Kampuni ili kukuza na kuvutia ...Tanzania na Rwanda kuboresha ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam
Tanzania na Rwanda kwa pamoja zimeafikiana kuweka mazingira mazuri ambayo yatasaidia kuongeza ufanisi wa matumizi ya Bandari ya Dar es Salaam kama ...