Habari
Uwanja mpya wa mpira Arusha kupewa jina la Rais Samia
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema uwanja mpya wa michezo utakaojengwa mkoani Arusha unatarajiwa kupewa jina ...Wizara ya Afya: Tumedhibiti ugonjwa wa matende na mabusha kwa kiasi kikubwa
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesitisha kampeni ya umezeshaji wa kingatiba za ugonjwa wa Mabusha na Matende katika Halmashauri ya Jijini la ...Uingereza yapiga marufuku wafanyakazi wa afya wa kigeni kupeleka wategemezi
Serikali ya Uingereza imepiga marufuku wafanyakazi wa huduma za afya wa kigeni kuleta wanafamilia wanaowategemea nchini humo, hali inayopelekea kuwepo kwa idadi ...Marubani wasinzia kwa dakika 28 ndege ikiwa angani
Indonesia inaichunguza ndege ya Batik Air baada ya marubani wote wawili kupatikana wakiwa wamelala kwa dakika 28 katikati ya safari. Wanaume hao ...Marioo adaiwa milioni 550 kwa kuvunja mkataba
Msanii wa muziki, Omary Mwanga maarufu ‘Marioo’ anayedaiwa TZS milioni 550 kwa madai ya kuvunja mkataba, anatarajiwa kufika mahakama Kuu Masjala ya ...