Habari
Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya wanawake Serikalini
Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake na wanaume bado hawana haki sawa duniani, ikiwa ni pamoja na nchi nyingi za Afrika. Ripoti ya ...Ripoti: Matukio ya ukeketaji yaongezeka kwa asilimia 15 duniani
Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) imeonesha kuwa idadi ya wanawake na wasichana wanaokeketwa imeongezeka ...Ndege yachelewa kuondoka baada ya abiria kutupa sarafu kwenye injini
Ndege ya shirika la ndege la China Southern Airlines imelazimika kuchelewa kwa zaidi ya saa nne baada ya abiria mmoja (jina halikuwekwa ...Utafiti: Wanawake wanaoweka nywele dawa hatarini kupata saratani ya mfuko wa uzazi
Utafiti mpya kutoka Chuo Kikuu cha Boston unaonyesha kwamba wanawake wanaoweka dawa kwenye nywele (hair relaxers) zaida ya mara mbili kwa mwaka ...Chuo Kikuu Ardhi kufanya uchunguzi pacha waliofanyiana mtihani
Kufuatia mahojiano na pacha waliokuwa wakisoma Chuo Kikuu Ardhi wakieleza jinsi walivyoweza kufanyiana mtihani, uongozi wa chuo hicho umesema unafanya uchunguzi wa ...Balozi Dkt. Nchimbi: Dhamira ya Rais Samia ni kuhakikisha nchi inaongozwa kwa kuzingatia misingi ya ...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema dhamira ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha nchi inaongozwa kwa kuzingatia misingi ya ...