Habari
Mfahamu Dorothy Semu, kiongozi aliyemrithi Zitto Kabwe ACT-Wazalendo
Dorothy alizaliwa mwaka 1975 na wazazi waliokuwa watumishi wa umma na kukulia jijini Arusha na mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania. Alipata shahada ya ...Mahakama yawatoza faini ya laki 3 waliomteka mwanamke kwa siku nne
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewahukumu wanaume sita kulipa faini ya shilingi 300,000 au kwenda jela miaka mitatu kila ...Bashungwa amsimamisha kazi meneja wa TANROADS kwa uzembe
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa ...Ruto ataka nchi za Afrika Mashariki zipewa miaka 50 kulipa madeni
Rais wa Kenya, William Ruto amesema ipo haja ya kurekebisha sera zilizopo za ulipaji wa madeni ambazo amedai zinazorotesha mataifa ya Afrika ...Zuchu apigwa marufuku kufanya muziki Zanzibar kwa miezi sita
Msanii maarufu wa kizazi kipya Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ amefungiwa kufanya shughuli zote za sanaa visiwani Zanzibar kwa kipindi cha miezi sita ...Marekani yamwekea vikwazo Rais wa Zimbabwe na Makamu wa Rais kwa tuhuma za ufisadi
Marekani imemwekea vikwazo Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa na mkewe; Makamu wa Rais, Constantino Chiwenga; baadhi ya wakuu wa Serikali na mashirika ...