Habari
Polisi: Tunawasaka bodaboda waliochoma basi Tanga
Jeshi la Polisi limesema linaendelea kuwasaka waendesha pikipiki maarufu bodaboda waliohusika kuchoma basi la kampuni ya Sai Baba Express katika Kata ya ...Muhimbili kuzindua benki ya kuhifadhi mbegu za uzazi
Wizara ya Afya imesema Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imeanza huduma ya kuhifadhi mbegu za uzazi ambapo hivi karibuni Rais Samia Suluhu ...Mwili wa Mtanzania aliyekuwa anafanya kazi Google waopolewa Mto Miami, Marekani
Mwili wa Mtanzania, Abraham Mgowano (35) aliyekuwa akiishi nchini Marekani umekutwa ukielea kwenye Mto Miami, Jimbo la Florida nchini humo baada ya ...Watu sita wakamatwa kwa tuhuma za mauaji ya rapa AKA
Polisi nchini Afrika Kusini inawashikilia washukiwa sita wa mauaji ya mwanamuziki maarufu, Kiernan Forbes, maarufu kwa jina la AKA, pamoja na rafiki ...Mkuu wa Kitengo cha Fedha Serengeti akamatwa madai ya wizi wa milioni 213
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu ...Bodaboda Tanga wachoma basi la Saibaba lililomgonga mwenzao
Basi la Kampuni ya Saibaba Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea mkoani Arusha limechomwa moto na kundi la bodaboda katika Kata ...