Habari
Mvua zakwamisha safari za treni za SGR
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepata changamoto kwenye mfumo wa umeme karibu na Stesheni ya Ruvu mkoani Pwani, hali iliyosababishwa na ...Viongozi wa dini wahimizwa kuendelea kufundisha kuhusu umoja na amani
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa elimu ya umoja na amani, ...Wananchi watahadharishwa kufuatilia maji wanayotumia kuepuka magonjwa
Meneja wa Maabara Kuu ya Ubora wa Maji Dar es Salaam, Hashim Kabelwa amewasihi wananchi katika maeneo mbalimbali kuwa makini na kuzingatia ...Polisi wakanusha kumgonga mwananchi na kumsababishia kifo Kibaha
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limekanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu gari la Jeshi la Polisi kumgonga mwananchi eneo la ...Aliyegongwa na Mwendokasi kulipwa milioni 88
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imeiamuru kampuni ya UDA Rapid Transit (UDART) kumlipa Frank Zebaza fidia ya shilingi ...Rwanda yafunga makanisa zaidi ya 10,000
Serikali ya Rwanda imefunga zaidi ya makanisa 10,000 kwa kushindwa kutimiza masharti ya sheria ya mwaka 2018 inayodhibiti maeneo ya ibada nchini ...








