Habari
Mtambo wa kwanza JNHPP waanza kuzalisha umeme
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo ameshuhudia kuwashwa kwa mtambo wa kwanza katika Mradi wa Umeme wa ...Akamatwa kwa kuiba mtoto ili awaridhishe wakwe zake
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mariam Renatus (22) kwa tuhuma za kuiba mtoto wa miezi 10, Miracle ...Waliofariki kwenye ajali Arusha wafikia 25
Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali iliyohusisha lori na magari mengine madogo matatu katika eneo la Ngaramtoni Kibaoni mkoani Arusha imefikia 25 ...Watatu wakamatwa kwa kumvua nguo na kumuibia mchungaji Kenya
Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wamewakamata watuhumiwa watatu wa wizi wanaodaiwa kumteka mchungaji na kumvua nguo kisha kumuibia Ksh.55,000, sawa na TZS ...Serikali yaiagiza TAA kuvunja mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege Songea
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha ...Wasifu mfupi wa Profesa Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili
Profesa Mohamed Janabi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili aliyebobea kwenye magonjwa ya moyo. Amekuwa akishauri masuala ya ulaji ...