Habari
Watu 8 wakamatwa kwa tuhuma za kumuua Mgambo Kilimanjaro
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu nane kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Farijara Hamis Mboya, maarufu kwa jina la ...Mahakama Kenya yaamuru wafungwa kupewa haki ya kuzika wanafamilia wao
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru wafungwa wote nchini humo kupewa haki kama binadamu wengine, ikiwemo haki ya kuhudhuria mazishi ya wanafamilia wao, ...Polisi kufanya msako wa magari yaliyofungwa ving’ora na yaliyoongezwa taa
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ramadhani Ng’anzi ameagiza kikosi cha usalama barabarani kukamata magari yote ...Uganda: Mahakama yatoa adhabu kwa wanawake wanaotuma watoto kuomba mtaani
Mahakama nchini Uganda imewahukumu zaidi ya wanawake 100 kufanya kazi za jamii bila malipo kwa mwezi mmoja kwa kukiri kuwatumia watoto wao ...Bashungwa aagiza mkandarasi aondolewe kwa kukosa vigezo
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kumuondoa mkandarasi wa kampuni ya Kay Bouvet Engineering Ltd ya nchini India ...Serikali yatangaza kuwasajili madalali wa mazao
Serikali imesema imeendelea kuchukua hatua mbalimbali kwa ajili kudhibiti wafanyabiashara wanaoenda kinyume na bei elekezi ikiwa ni pamoja na kuendesha operesheni ya ...