Habari
Kamati ya Bunge: Serikali idhibiti wavamizi wa mgodi wa Barrick Gold North Mara
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeagiza serikali kuchukua hatua za haraka ili kudhibiti kundi la vijana wanaopanga mbinu ya kuvamia ...Benki ya NMB yatajwa Benki Bora ya Biashara Tanzania na Jarida la Global Finance
Benki ya NMB imetunukiwa Tuzo ya Benki Bora ya Biashara Ndogo na za Kati Tanzania kutoka Jarida la Kimataifa la Global Finance ...Nchi 10 za Afrika zenye kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira mwaka 2024
Ukosefu wa ajira ni changamoto kubwa inayokabili uchumi wa bara la Afrika. Ingawa bara hili lina rasilimali nyingi za asili pamoja na ...AfDB: Uchumi wa Tanzania kuupita uchumi wa Kenya na Uganda
Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua zaidi mwaka 2024 kupita uchumi wa Kenya na Uganda kwa mujibu wa ripoti ya Benki ya Maendeleo ...Kampuni za simu zatozwa faini bilioni 2 kwa kukiuka kanuni za usajili wa laini
Kampuni zinazotoa huduma za simu zimetozwa faini ya shilingi bilioni 2.08 kwa kushindwa kutii kifungu kinachowataka kutotumia kitambulisho cha taifa kimoja kusajili ...Mzee wa miaka 65 ajinyonga kisa wivu wa mapenzi
Mwanaume wa miaka 65 aliyejulikana kwa jina la Bakari Mtepa mkazi wa Kijiji cha Majengo Halmashauri ya wilaya ya Mtwara amefariki baada ...