Habari
TRC: Mgao wa umeme hautaathiri treni za SGR
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema mgao wa umeme unaoondelea nchini hautaathiri utendaji kazi wa treni ya abiria ya reli ya kisasa ...Rais Samia awapandisha vyeo maofisa wa Polisi 155
Rais Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo maofisa wa Polisi 155 ikiwa ni pamoja na na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi kuwa Manaibu ...Vyuo vikuu 10 bora Afrika Mashariki
Elimu ya juu barani Afrika inaendelea kukua kadri miaka inavyozidi kusonga tofauti na miaka ya nyuma. Vyuo vingi vimeendelea kuboreshwa huku vijana ...Mtwara: Mwanaume ajiua kisa kuachwa na mpenzi wake
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Hamis Lidonge (31) mkazi wa Kitongoji cha Ukombozi, Kata ya Mahurunga katika Halmashauri ya Wilaya ya ...Nafasi 73 za Ajira Serikalini
POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 2 POSTEmployer: Halmashauri ya Wilaya ya SengeremaMore Details 2024-02-26 Login to Apply POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 3 POSTEmployer: Halmashauri ...Mauritius yaipiku China kwa uwekezaji Tanzania
Mauritius imeibuka kuwa chanzo kikuu cha uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni nchini Tanzania Januari 2024, na kuipiku China, huku takwimu ...