Habari
Rais Samia: Wanasiasa tufuate nyayo za Lowassa, tusitukanane
Rais Samia Suluhu Hassan amewaasa wanasiasa kufuata nyayo za Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa za kuheshimiana na kujenga siasa zenye hoja pasipo ...Rais Samia: Wanawake wanaweza kufanya vizuri katika biashara na uwekezaji
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anaamini kuwa katika upande wa biashara na uwekezaji, wanawake na wasichana wanauwezo mkubwa wa kufanya vyema katika ...Idadi ya wagonjwa wa figo Muhimbili yazidi kuongezeka
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku ...Watumishi wa afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla ...Bunge laipa Serikali hadi Juni 2024 kumaliza mgao wa umeme
Serikali imesema kufikia Machi mwaka huu mgao wa umeme unatarajiwa kumalizika baada ya kufanikiwa kufanya majaribio ya mtambo namba tisa katika Bwawa ...Rais Samia apongezwa na mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amepongezwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kwa jitihada zake za ...