Habari
Rais Samia apongezwa na mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amepongezwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kwa jitihada zake za ...Tume ya uchaguzi yatangaza uchaguzi wa madiwani kwenye Kata 23
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara utakaofanyika Machi 20, mwaka huu. Taarifa ...China kufadhili Trilioni 2.5 kuboresha reli ya TAZARA
China kupitia Kampuni ya Ujenzi wa Miundombinu ya Kiraia (CCECC) inapanga kutumia Dola za Marekani bilioni moja [TZS trilioni 2.5] kurekebisha reli ...Mahakama yaamuru nyumba ya mtoto wa Mbowe ipigwe mnada
Mahakama Kuu ya Tanzania imeamuru nyumba ya mkurugenzi wa gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe iliyoko eneo la Mikocheni Dar es Salaam ...Jinsi ya kufurahia Valentine kwa walio ‘single’
Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) inaweza kuwa changamoto kwa watu ambao hawako kwenye uhusiano ya kimapenzi. Hii ni kwa sababu siku hii ...Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi kushiriki maandamano Mwanza
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa amethibitisha kushiriki katika maandamano ya ...