Habari
Mramba: Biashara ya kuuziana umeme kutainufaisha Tanzania
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba ametoa ufafanuzi zaidi kuhusu hatua ya Serikali kununua umeme nchini Ethiopitia kupitia nchini ...Wawili wabainika kuwa na ugonjwa wa Mpox nchini
Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wawili wenye maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara. ...TMA yatangaza uwepo wa kimbunga ‘JUDE’ kwenye Bahari ya Hindi
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza uwepo wa kimbunga ‘JUDE’ katika Bahari ya Hindi eneo la Rasi ya Msumbiji. Katika ...Utafiti waonesha vijana wa Kitanzania wanaongoza kwa ustahimilivu wa akili
Utafiti mpya wa Mental State of the World 2024, uliotolewa na Sapien Labs umebaini vijana wa Kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa kiakili ...Nafasi 54 za Ajira Serikalini
POST: PATENTS SECTION MANAGER (1 POST) – 1 POST Employer: Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) More Details 2025-03-12 Login to Apply ...Yanga yasema haiko tayari kupangiwa Derby siku nyingine
Uongozi wa Yanga SC umesema mchezo uliopanga kuchezwa leo dhidi ya Simba SC saa 1:15 usiku uko pale pale na hakuna mabadiliko ...