Habari
Tanzania na Poland zajadili kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ili kuchochea zaidi utalii pamoja na biashara baina ya Tanzania na Poland, ameelekeza kuchukuliwa kwa hatua zitakazowezesha ...Madagascar yapitisha sheria ya kuwahasi wabakaji wa watoto
Bunge la Madagascar limeidhinisha sheria mpya ambayo itawafanya watu waliopatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto kuhasiwa na kuhukumiwa kifungo ...Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa Red Eyes
Wizara ya Afya imewaasa wananchi kuacha tabia ya kutumia dawa za macho zisizo rasmi kwa lengo la kutibu ugonjwa wa macho mekundu ...Bodaboda jela miaka 30 kwa kumbaka abiria wake mkoani Kigoma
Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela ...NMB, Yanga wazindua Kadi Maalum za Wanachama zenye bima za mamilioni
BENKI ya NMB na Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na MasterCard Intenational, wamezindua Kadi Maalum ya Wanachama wat imu hiyo ‘NMB, Yanga ...Dkt. Mollel: Serikali inalifanyia kazi suala la sheria kuruhusu utoaji mimba
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa, matatizo yatokanayo na utoaji mimba ni moja ya sababu inayochangia vifo ...