Habari
Sita wafariki na watano wapatwa na upofu kwa kunywa pombe iliyokwisha muda wake
Watu sita wamefariki huku wengine watano wakipata upofu baada ya kudaiwa kunywa pombe iliyokuwa imekwisha muda wa matumizi inayojulikana kwa jina la ...Gharama ya kufunga mfumo wa gesi kwenye magari yafikia milioni 2
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imebaini kuwa gharama kubwa za ufungaji wa mfumo wa gesi kwenye magari nchini zimechangia uwepo ...Biteko: Upungufu wa umeme umepungua baada ya mvua kunyesha
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati kwa kishirikiana na Shirika la Umeme ...Polisi: Tunawasaka waliozusha taarifa za mauaji ya raia wa Kihindi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya jamii kuwa kuna raia watatu wenye asili ...Mahakama yabariki kuuawa aliyeua mtoto kisa alimrushia mawe
Mahakama ya Rufani imebariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa Charles Zewanga, mkazi wa Insani wilayani Mbozi, Mkoa wa Songwe kwa kumuua mtoto ...