Habari
Rais Samia: Tutawauzia majirani zetu gesi iliyoko nchini
Rais Samia Suluhu Hassan amesema gesi asilia ni bidhaa muhimu kwa nchi, hivyo ni lazima kuongeza uzalishaji na usambazaji wa gesi hiyo ...Tanzania yasajili miradi ya uwekezaji trilioni 4 kwa miezi mitatu
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema katika kipindi cha ndani ya miezi mitatu ya mwisho wa mwaka 2023, kimesajili miradi yenye thamani ...Adaiwa kumchinja mkewe mjamzito, kutoa watoto tumboni na kumpika mmoja
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake ...Miji 10 Afrika yenye kiwango kikubwa cha uhalifu 2024
Uhalifu unaweza kumaanisha aina mbalimbali za vitendo visivyo halali au vinavyokiuka sheria katika jamii. Kuna makundi mengi ya uhalifu ambayo yanajumuisha mambo ...Kenya: Maafisa wa Polisi washikiliwa kwa kumminya mtuhumiwa sehemu za siri
Maafisa watatu wa polisi nchini Kenya wanashikiliwa kwa tuhuma za kumtesa na kukandamiza viungo vya uzazi vya mwanamume aliyekuwa ameshikiliwa katika Kituo ...Rais Samia awasihi majaji kutenda haki katika mashauri
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa majaji na mahakimu wote nchini kuwajibika kwa kufanya kazi zao kwa uadilifu na kutenda haki, ...