Habari
Trump atishia kuiongezea China ushuru mwingine wa asilimia 50
Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuiwekea China ushuru wa ziada wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani ikiwa haitafuta ushuru wake ...Marekani yatangaza kuzuia visa kwa raia wa Sudan Kusini
Marekani imetangaza kufuta visa zote za watu wenye pasipoti ya Sudan Kusini baada ya nchi hiyo kushindwa kuwapokea raia wake waliorejeshwa kutoka ...Dkt. Mwinyi amhakikishia Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza uchaguzi wa amani na utulivu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemshukuru Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Muanzilishi ...Rais Samia asisitiza matumizi ya TEHAMA kwa Mahakama ili kuboresha utoaji haki
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa Mahakama hususan Mahakama za Mwanzo kutokufungwa na masharti ya kiufundi katika utoaji haki ili kurahisisha ...Polisi: Tunafanya uchunguzi dereva bajaji aliyekutwa ameuawa Arusha
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema linafanya uchunguzi kuhusu tukio la mwili wa Elias Msuya (28) dereva bajaji, mkazi wa Uswahilini Jijini ...Ruto: Nikishindwa uchaguzi nitakwenda nyumbani kulima
Rais William Ruto amesema yuko tayari kukabiliana na wapinzani wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2027. Akizungumza wakati wa ziara yake katika Kaunti ...