Habari
Mahakama Kenya yazuia mkataba wa ushirikiano wa afya na Marekani
Mahakama Kuu ya Kenya imetoa amri ya kuzuia utekelezaji wa mkataba wa ushirikiano wa afya kati ya Kenya na Marekani hususani kipengele ...Amsons Group kuwekeza TZS trilioni 1.4 mradi wa umemejua Zambia
Kampuni ya Kitanzania ya Amsons Group, mojawapo ya kampuni kubwa za nishati barani Afrika, imetangaza ushirikiano wa kimkakati na kampuni ya Exergy ...Polisi: Wananchi endeleeni na shughuli zenu bila hofu
Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za halali bila hofu kwani nchi iko salama. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la ...Jeshi la Polisi lawapongeza wananchi kwa kuwapuuza wachochea vurugu
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema hali ya usalama ni shwari kote nchini Tanzania na shughuli za kiuchumi na kijamii ...Nafasi 293 za Ajira Serikalini
https://portal.ajira.go.tz/vacanciesDAWASA: Kuchelewa kwa mvua kumechangia upungufu wa maji Dar
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imetangaza upungufu wa huduma ya maji katika maeneo yanayohudumiwa na mtambo ...







