Habari
Polisi yapiga marufuku maandamano ya Desemba 9
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga ...Kesi ya Mange Kimambi yaahiridhwa hadi Januari, 2026
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati wa Tanzania anayeishi Marekani, Mange Kimambi hadi Januri 28 2026. ...Polisi waanza uchunguzi kutoweka kwa Mtawa Morogoro
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limesema linachunguza taarifa ya kutoonekana kwa Mtawa, Silianus Balyalemwa Korongo (49) ambaye ametoweka kutoka kwenye nyumba ya ...Polisi: Tunamshikilia British, hajatekwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutekwa kwa Fredrick Mang’era Kemange maarufu British, mkazi wa Kijiji ...Mange Kimambi ashtakiwa kwa kutakatisha fedha, adai Serikali inapanga kumrejesha nchini
Mwanaharakati Mange Kimambi anayeishi nchini Marekani amefunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi nchini Tanzania, akidaiwa kutakatisha TZS milioni 138.5. Kwa mujibu wa hati ...








