Habari
Serikali ya Kenya yafunga jengo la Freemason kwa kutolipa kodi
Serikali ya Kaunti ya Nairobi nchini Kenya imefunga jengo la Freemasons’ Hall la Grand Lodge of East Africa lililoko katikati ya jiji ...BoT: Noti ya Shilingi 10,000 inaongoza katika matumizi ya fedha taslimu nchini
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), noti ya Shilingi 10,000 ndiyo noti inayotumika zaidi nchini Tanzania, ikichangia ...Vodacom Digital Accelerator Yazindua msimu wa 4: Biashara bunifu 15 zateuliwa kushiriki Design Sprint
• Kufundishwa ujasiriamali na Wataalamu wa Kimataifa kutoka Marekani Vodacom Tanzania PLC, kwa kushirikiana na Huawei Tanzania, leo imezindua rasmi Msimu wa ...Naibu Katibu Mkuu CHADEMA akamatwa uwanja wa ndege akielekea Ubelgiji
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limemkamata Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani ...Serikali kujenga shule 103 za Sekondari za amali nchini
Serikali imewezesha ujenzi wa shule mpya 103 za sekondari za amali ambazo zipo katika hatua mbalimbali za ujenzi. Kati ya shule hizo, ...Orodha ya majimbo ya uchaguzi yaliyogawanywa au kubadilishwa majina
ORODHA YA MAJIMBO MAPYA NA YALIYOBADILISHWA MAJINA (1)