Habari
Rais Samia: Vurugu zilitengenezwa ili kuangusha Dola
Rais Samia Suluhu Hassan amesema matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yalikuwa ni ...Mahakama kuamua usikilizwaji wa shauri kuhusu kufutwa sherehe za Uhuru
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, leo inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo kuhusu usikilizwaji wa shauri la Wakili Peter Madeleka dhidi ya Rais wa ...Askari Magereza ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mpenziwe kisa mapenzi
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia na kumhoji Askari wa Jeshi la Magereza mwenye umri wa miaka 31 (jina limehifadhiwa) kwa tuhuma ...BENKI YA EXIM YAANZA KAMPENI YA MALIPO BILA KUTUMIA FEDHA TASLIMU WAKATI WA SIKUKUU NA ...
Dar es Salaam, Tanzania, 1 Desemba 2025: Exim Bank Tanzania imezindua rasmi kampeni yake ya miezi miwili ya matumizi ya kadi msimu wa ...Watu 12 wakamatwa wamejificha kwenye mapango Mwanza
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iinawashikilia watu 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango mbalimbali yaliyomo mkoani humo, huku wakidaiwa ...








