Habari
Wasifu wa marehemu Balozi Juma Volter Mwapachu
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu amefariki dunia jana Machi 28, 2025 katika Hospitali ya ...Zaidi ya watu 1,000 wamepoteza maisha kutokana na tetemeko la ardhi Myanmar
Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 katika kipimo cha Richter limeikumba Myanmar, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000 ...UDART yatangaza kusitisha huduma za usafiri baadhi ya maeneo kutokana na mvua
Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) imesema kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, imepelekea kusitisha kwa muda kwa huduma ...Canada: Uhusiano wa zamani na Marekani umekwisha
Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney amesema nchi hiyo italazimika kupunguza utegemezi wake kwa Marekani kwani uhusiano wao unazidi kuzorota. Akizungumza baada ...Marekani yapanga kusitisha ufadhili kwa Shirika la chanjo
Marekani inapanga kusitisha ufadhili wake kwa shirika la Utoaji wa Chanjo Duniani (GAVI) ikiwa ni sehemu ya juhudi za Rais Donald Trump ...Rais Samia: Tutafanyia kazi Ripoti ya CAG, TAKUKURU
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali iko tayari kuendelea kufanyia kazi maoni na mapendekezo yaliyotolewa ndani ya taarifa ya Taasisi ya Kuzuia ...