Habari
Wanaume wawili waliovalia mavazi ya kike wauawa na Polisi katika tukio la ujambazi Mwanza
Watu wawili wa jinsia ya kiume wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa eneo la Kabambo, Kata ya Kiseke, Tarafa ya Ilemela mkoani Mwanza ...Dkt. Biteko aagiza kufumuliwa kwa kituo cha huduma kwa wateja TANESCO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza kufumuliwa kwa Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Shirika la Umeme ...Polisi: Taarifa za uwepo wa mbakaji ‘Teleza’ ni uvumi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limewaonya wananchi waliotaka kumshambulia mwananchi mmoja wakimtuhumu kuwa ni mbakaji maarufu kwa jina la ‘Teleza’. Taarifa ...Dkt. Nchemba azialika kampuni za Japan kuwekeza Tanzania
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ametoa wito kwa kampuni za Japan kuwekeza nchini Tanzania ili kutumia fursa zilizopo katika sekta ...Aliyevaa sare za JWTZ ili asikataliwe na mchumba wake ahukumiwa kwenda jela
Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na ...Wakazi wa kijiji cha Italia waamriwa wasiugue
Meya wa kijiji cha Belcastro, Antonio Torchia, amewataka wakazi wa kijiji hicho cha kaskazini mwa Italia kuepuka kupata magonjwa yanayohitaji msaada wa ...