Habari
Wauguzi wasimamishwa kazi baada ya mtoto kuharibika mkono
Wizara ya Afya Zanzibar imewasimamisha kazi wauguzi wawili kutoka Hospitali ya Mkoa Lumumba kupisha uchunguzi kufuatia tukio la mtoto wa miezi minne ...Nafasi 63 za Ajira Serikalini
https://portal.ajira.go.tz/vacanciesBibi wa miaka 70 ahukumiwa jela kwa kuua watoto pacha
Mahakama nchini Kenya imemhukumu bibi mwenye umri wa miaka 70, Konso Godana, kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ...Clemence Mwandambo ashikiliwa kwa tuhuma za uchochezi na uchonganishi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema linamshikilia mwalimu wa shule ya Awalii, Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni A mkoani humo ...Waziri Mkuu aagiza mkandarasi akamatwe na azuiwe hati ya kusafiria
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amelielekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi ...Baba adaiwa kumnyonga mwanaye na kisha ajinyonga
Mtoto Deniva Derick mwenye umri wa miaka miwili ameuawa kwa kunyongwa hadi kufa na anayedaiwa kuwa baba yake mzazi, Derick Mwangama (23), ...








