Habari
Rais Samia: Waliofuata mkumbo kwenye vurugu Oktoba 29 waachiwe
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Mashtaka kuwafutia makosa vijana walioonekana kushiriki vurugu siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025 kwa kufuata ...Rais Samia: Uwaziri Mkuu ni nafasi ya kulitumikia Taifa na wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Uwaziri Mkuu haihitaji urafiki, undugu na ujamaa, badala yake ni nafasi ya kulitumikia Taifa. Ameyasema ...BAKWATA yaitaka Serikali kutowafumbia macho waliochochea vurugu Oktoba 29
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu zimeitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini watu ...Dkt. Nchemba atuma salamu kwa watumishi wazembe na wala rushwa
Waziri Mkuu Mteule wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hatowavumilia watumishi wa umma wavivu, wazembe, wala rushwa na wenye lugha mbaya kwa Watanzania. Ameyasema hayo ...Huyu ndiye Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu Mteule wa Tanzania
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya ...







