Habari
Dkt. Nchemba azialika kampuni za Japan kuwekeza Tanzania
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ametoa wito kwa kampuni za Japan kuwekeza nchini Tanzania ili kutumia fursa zilizopo katika sekta ...Aliyevaa sare za JWTZ ili asikataliwe na mchumba wake ahukumiwa kwenda jela
Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na ...Wakazi wa kijiji cha Italia waamriwa wasiugue
Meya wa kijiji cha Belcastro, Antonio Torchia, amewataka wakazi wa kijiji hicho cha kaskazini mwa Italia kuepuka kupata magonjwa yanayohitaji msaada wa ...Baba wa kambo akamatwa kwa kumbaka, kumlawiti mtoto wa mwaka mmoja hadi kufariki
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Doto Maduhu Sita (32) mkazi wa Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ambaye ni baba wa kambo wa ...Waziri Gwajima: Wasio na elimu ya uandaaji wa maudhui mtandaoni waache mara moja
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amekemea ongezeko la maudhui yasiyofaa yanayozalishwa na waandaji wa ...Watano wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za usafirishaji wa bangi
Watu watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma leo na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi kutokana na tuhuma za kusafirisha dawa ...