Habari
Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024
Benki ya Dunia imepunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa mwaka 2024 hadi asilimia 4.7 kutoka asilimia 5.0 ya awali, ...Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548
Katika kuadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati ...TRC yaongeza ratiba ya treni mikoa mitatu
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya ...Bandari ya Dar es Salaam yaanza kupokea meli kubwa za mizigo baada ya maboresho
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema imeendelea kupokea meli kubwa za mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, ikiwa ni ...Dkt. Mwinyi asisitiza kutunza amani kuelekea Uchaguzi Mkuu mwakani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameisisitiza jamii kuendelea kuitunza amani iliyopo wakati nchi ikielekea ...