Habari
Mtoto afariki baada ya kudokolewa na kuku Songwe
Mtoto Josiah Mwambene, aliyemaliza darasa la saba katika Kijiji cha Majengo, wilayani Mbozi mkoani Songwe, amefariki dunia katika mazingira yaliyotajwa kuwa ya ...Nafasi za Ajira Serikalini
https://portal.ajira.go.tz/vacanciesMbaroni kwa tuhuma za mauaji ya mama wa kambo
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Tatuzo Yohana Mzumbwe, mkazi wa Masoko mkoani humo kwa tuhuma za mauaji ya mama yake wa ...Kijana ashikiliwa kwa kubaka wanawake wanne
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia kijana aitwaye Piere Saimon (20), mkazi wa Nzuguni B kwa tuhuma za kubaka wanawake wanne wa ...Akiri kumuua mkewe kwa kuchelewa kurudi nyumbani
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Chimaguli Samamba (54), mkulima na mkazi wa Ugede- Songambele kwa tuhuma za kumuua mke wake ...Kaka wa Humphrey Polepole aitwa Polisi
Jeshi la Polisi limesema linaendelea kumtafuta Augustino Polepole ambaye ni kaka wa Humphrey Polepole ili atoe maelezo yake na uthibitisho wa shutuma ...







