Habari
INEC yatangaza mabadiliko ya idadi ya wapigakura
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza mabadiliko ya takwimu za idadi ya wapigakura, ambapo jumla ya wapigakura waliopo katika Daftari ...Waziri Kombo apokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Angola
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka ...Jeshi la Polisi limesema linachunguza madai ya Polepole kutekwa
Jeshi la Polisi limesema linafanya uchunguzi juu ya taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza kuwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, ...Nafasi za Ajira Serikalini
https://portal.ajira.go.tz/vacanciesMsigwa akanusha Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa miezi 6
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Serikali haijatangaza kuufunga Uwanja ...Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya mamilionea wa dola 2025
Afrika imeelezwa kuwa moja ya kanda zinazokua kwa kasi zaidi katika ustawi binafsi duniani, licha ya baadhi ya nchi kubwa kukabiliwa na ...








