Habari
Madhara ya Kiafya na Kijamii ya kuchelewa kuamka asubuhi
Kulala ni hitaji la msingi la afya ya binadamu. Wataalamu wa afya wanashauri muda wa kulala uwe wa wastani kulingana na umri, ...Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua mfanyakazi wa ndani
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemhukumu Suleiman Kwata adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya ...Watoto watatu wafariki baada ya nyumba kuteketea moto Kibaha
Watoto watatu Adriela Siprian (04), Gracious Kadinas (03) na Gabriela Kadinas (01) wamefariki dunia baada ya nyumba kuteketea kwa moto mtaa wa ...Uganda yakanusha kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya
Jeshi la Polisi nchini Uganda limekanusha kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya wanaodaiwa kutekwa nyara siku ya Jumatano katika mji mkuu Kampala. Mwanasiasa ...Air Tanzania yatangaza ajira mpya 173
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetangaza nafasi 173 za ajira, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulipanua na kulipa nguvu zaidi ...TRA yakanusha kutoza kodi kwa kila kitanda nyumba za wageni
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekanusha taarifa kuwa wamiliki wa nyumba za wageni wanatozwa kodi kwa kila kitanda. Badala yake, imeeleza kuwa ...








