Habari
Uganda yakanusha kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya
Jeshi la Polisi nchini Uganda limekanusha kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya wanaodaiwa kutekwa nyara siku ya Jumatano katika mji mkuu Kampala. Mwanasiasa ...Air Tanzania yatangaza ajira mpya 173
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetangaza nafasi 173 za ajira, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulipanua na kulipa nguvu zaidi ...TRA yakanusha kutoza kodi kwa kila kitanda nyumba za wageni
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekanusha taarifa kuwa wamiliki wa nyumba za wageni wanatozwa kodi kwa kila kitanda. Badala yake, imeeleza kuwa ...Mtoto afariki akidaiwa kupigwa na bibi yake Shinyanga
Mtoto Sofia Ndoni (3) amefariki dunia kwa madai ya kushambuliwa kwa kipigo kwenye sehemu mbalimbali za mwili wake kwa fimbo na mpira ...









