Habari
China, Tanzania na Zambia zasaini makubaliano ya trilioni 3.4 kuboresha TAZARA
Tanzania, Zambia na China zimetiliana saini mkataba wa Dola Bilioni 1.4 [TZS trilioni 3.4] kwa ajili ya kufufua Reli ya Tanzania- Zambia ...Serikali ya Hungary yafungua Ubalozi Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameishukuru na kuipongeza Serikali ya Hungary kwa ...Watu 11 wa familia moja wahukumiwa kifo China
Mahakama nchini China imewahukumu kifo watu 11 kati ya 39 wa familia moja kwa kuendesha vituo vya uhalifu nchini Myanmar, ikiwemo biashara ...Jela miaka 30 kwa kukutwa na bangi
Mahakama ya Wilaya Singida imemhukumu Athumani Jumanne Mwangi (24), mkazi wa Mungumaji, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ...Nafasi 24 za Ajira Serikalini
https://portal.ajira.go.tz/vacanciesPolisi waanza uchunguzi wanasiasa Kigoma kukusanya namba za vitambulisho vya kura
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limeanza uchunguzi kufuatia tuhuma zinazohusisha baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wanaodaiwa ...









