Habari
Dkt. Samia atangaza mradi wa reli mpya Mtwara–Mbamba Bay
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amewashukuru wananchi, viongozi wa chama hicho pamoja na viongozi ...Vijana waliokanyaga bendera ya Kenya wafikishwa mahakamani
Vijana wawili wa Kisomali waliokamatwa wakiwa wanakanyaga bendera ya Kenya katika Uwanja wa Nyayo wakati wa mechi kati ya Mogadishu City Club ...Polisi kuchunguza tukio la mauaji ya watu wawili Dar
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea kuchunguza mauaji ya watu wawili ambao wamejulikana kwa majina ya Mashua ...Amdanganya mume kuwa ametekwa ili atume milioni 10
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia Loveness Kisile (30) mkazi wa Mtaa wa Temeke, Kata ya Mhandu Wilaya ya Nyamagana kwa tuhuma ...Uchaguzi Mkuu Kenya kugharimu TZS Trilioni 1
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) imesema inahitaji KSh bilioni 57.3 [TZS Trilioni 1.09] kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2027, ...Muhimbili yakanusha kuwafuta kazi wafanyakazi 200
Hospitali ya Taifa Muhimbili imekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa imewafuta kazi wafanyakazi 200 kwa kuwa haina fedha za kuwalipa. Taarifa iliyotolewa na ...









