Habari
Kesi ya kupinga Mpina kuenguliwa kugombea Urais kusikilizwa Septemba 29
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma imetoa amri ya kusikiliza kesi ya Luhaga Mpina na chama cha ACT Wazalendo dhidi ya ...Mama amuua kwa moto mtoto wake baada ya kuiba TZS 2,800
Polisi Kaunti ya Kisumu nchini Kenya wanamshikilia mwanamke anayejulikana kwa jina la Jacinter Akinyi (47), kwa tuhuma za kumchoma moto na kumsababishia ...Dkt. Samia: Kazi inayoendelea ni kuupa hadhi utu wa mtu
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amesema ikiwa wananchi watampa ridhaa Oktoba 29, 2025 kazi itakayoendelea kuupa hadhi utu ...‘House boy’ kortini kwa tuhuma za shambulio la aibu kwa mtoto
Fred Kelendo Marekioli (19) mfanyakazi wa ndani (House boy) na mkazi wa Nyakato mkoani Mwanza, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana ...Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuanza kusikilizwa Oktoba 6
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, itaanza kusikilizwa mfululizo kuanzia Oktoba 6, 2025 katika ...Tume yasisitiza ACT- Wazalendo haina mgombea Urais
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesisitiza kuwa Chama cha ACT-Wazalendo hakina wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais ...









