Habari
Nafasi 99 za Ajira Serikalini
https://portal.ajira.go.tz/vacanciesTanzania na Uganda kujenga mabomba ya kusafirisha gesi asilia na mafuta safi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Uganda zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika matumizi ya bandari, biashara ya gesi asilia na mafuta safi ...Tanzania yaandaa wataalamu wa AI na Sayansi Data kwa mapinduzi ya viwanda
Serikali ya Tanzania inaongeza uwekezaji katika elimu ya akili unde (AI) na sayansi ya data ili kuiandaa nchi kukabiliana na mapinduzi ya ...Shilingi ya Tanzania yaimarika licha ya deni la Taifa kuongezeka
Uchambuzi mpya wa kiuchumi umeonesha kuwa shilingi ya Tanzania imeendelea kuwa imara licha ya kuongezeka kwa deni la taifa, hali inayotajwa kuchangiwa ...Tume ya Rais yakutana na Majaliwa
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imekutana na ...BASATA yapiga marufuku MCs na DJs wasio na vibali
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) ...








