Habari
Watu sita wakamatwa kwa kuhujumu miundombinu ya reli ya SGR
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watuhumiwa wawili, Said Sempinga (39) na Michael Robert (44) wote wakazi wa Kilosa kwa tuhuma ...Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka bibi wa miaka 73
Mwanaume mwenye umri wa miaka 45 amekamatwa kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 73 katika kaunti ya Tharaka Nithi. ...Mabelya: Wananchi wako tayari kupokea mikopo ya asilimia 10 ili kujikomboa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, ameeleza kwamba mpango mpya wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ...BoT: Wakopeshaji wa mtandaoni tunaowatambua ni wanne pekee
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mitandaoni, manne pekee ndiyo ...Nafasi 48 za Ajira Serikalini
POST: TUTORIAL ASSISTANT (ACCOUNTING AND FINANCE) – 3 POST Employer: Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) More Details 2024-11-21 Login to Apply POST: STATISTICIAN II – ...Waziri Mkuu ahimiza viongozi wa vyama vya siasa kudumisha amani uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa vyama vya siasa vitakavyoshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa vinara katika ...