Habari
Serikali ya Taliban yapiga marufuku vitabu vilivyoandikwa na wanawake
Taliban imeondoa vitabu vilivyoandikwa na wanawake kwenye mtaala wa vyuo vikuu nchini Afghanistan, pamoja na kupiga marufuku masomo ya haki za binadamu ...Lori lagongana na basi uso kwa uso watu 9 wafariki Dodoma
Watu tisa wamefariki na wengine 16 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria la Babu Trans lililokuwa likitokea Kondoa kuelekea Dodoma kugongana, uso ...Mwanafunzi abakwa na kisha kumwagiwa tindikali na wasiojulikana Kenya
Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Rabuor, Kamsama, Kaunti ya Homa Bay nchini Kenya baada ya mwanafunzi wa kike mwenye umri ...Dkt. Samia awataka Watanzania kudumisha amani uchaguzi mkuu
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewahakikishia Watanzania kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga vyema kulinda amani wakati ...Auawa kwa kisu baada ya mabishano ya Simba na Yanga
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Evaristo Mwambogolo (28), mkulima na mkazi w Ululu wilayani Mbozi mkoani Songwe amefariki duniani baada ya ...Mahakama yatupilia mbali hoja ya Lissu dhidi ya Polisi
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameieleza mahakama kuwa hayuko tayari shauri lake kuendelea kusikilizwa mpaka pale majaji watakapotoa uamuzi juu ya mambo ...









