Habari
Polisi yamtaka Polepole afike Ofisi ya DCI kutoa ushahidi wa tuhuma alizotoa
Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya ...Mwanariadha wa Tanzania ashinda ubingwa wa dunia
Mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Simbu ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za riadha za wanaume kwenye mashindano ya Riadha ya Dunia ya ...Mume amuua mke na kisha kujiua kwa kisu
Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Ibrahim Shida (24) mkazi wa Kijiji cha Sirorisimba anadaiwa kumuua aliyekuwa mke wake, Tatu Marwa (25) kwa ...Luhaga Mpina aondolewa kwenye kinyang’anyiro cha Urais
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekubali pingamizi lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari dhidi ya uteuzi wa Mgombea ...Ajali yaua wanne akiwemo Mwenyekiti wa CCM Kilwa
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya ...Dkt. Samia aahidi kuifanya Kigoma kuwa kitovu cha biashara
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kuifanya Mkoa wa Kigoma kuwa Kitovu cha biashara ...









