Habari
Mahakama ya Kijeshi kutoa hukumu dhidi Rais Kabila
Mahakama Kuu ya kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi inayomkabili Rais wa zamani wa nchi ...Mahakama yaruhusu Mpina kuendelea na mchakato wa kugombea Urais
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, ameshinda kesi aliyofungua kupinga zuio la kurejesha fomu za uteuzi wa urais dhidi ya ...Zaidi ya Dola Bilioni 2 zinahitajika Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia Afrika
Zaidi ya dola bilioni 2 kwa mwaka zinahitajika ili Bara la Afrika liweze kufanikisha Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia, hatua inayolenga ...Amuua baba yake na kumzika kwenye shamba la familia
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Musee Ngui, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake, Ngui Ngunza na kumzika kwenye ...Chumi: Fedha za Tabianchi kwa Afrika si hisani, ni wajibu wa kimataifa
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi amesisitiza kuwa si sawa kwa Afrika kushurutisha nchi zilizoendelea ...Dkt. Samia kufanikiwa kwa miradi kumetokana na usimamizi mzuri wa fedha
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu amesema kufanikiwa kwa miradi mingi ya maendeleo nchini kumetokana na ...









